Elimu cha Masafa (MOBILE EDUCATION COLLEGE) ni chuo kinachijihusisha na utoaji wa Elimu kwa njia ya mfumo wa masafa. Mara ya kwanza wazo la kuanzisha mfumo huu uliltolewa mwaka 2012. Na kwa muda wa miaka miwili tumekuwa tukifanya utafiti na uchambuzi juu ya mwennendo na mstakbali wa Elimu ya Tanzania hasa . Taasisi hii ilianzishwa 09/07/2014 mjini Dar Es Salaam.
Thursday, October 16, 2014
KARIBU MEC
Tumeanza kuandikisha wanachama wapya kwa muhura mpya wa masomo wa mwaka 2014/2015 kwa kiingilio cha sh 2500/= tu.
No comments:
Post a Comment